|
|
| |
MASWALI
NA MAJIBU-Biashara na Riba |
| |
|
| Biashara
na Riba-Sehemu
ya Kwanza |
|
|
|
|
|
- naomba
kuuliza swali kuhusu kuchukua deni bank
ambalo kama kawaida lina riba je ina
juzu.mimi nina nafasi yangu kibiashara na
wala sichukui deni bank kwa shida ila katika
kuendeleza biashara zangu tu.
- (1)Mimi
naishi ulaya na ni mwanafunzi jee, naweza
kuchukua mkopo toka serikalini ambapo
masharti ni kwamba mkopo huu natakiwa ni
urudishe pindi nipatapo kazi baada ya
kumaliza masomo? na sharti la mkopo ni
kwamba riba inaanza kuhesabiwa tu pindi mtu
anapopata kazi na kabla ya kupata kazi kama
utarudisha huo mkopo basi hauna riba.Na
mkopo wote unaweza kusamehewa kama utaihama
nchi kabisa kabisa. Jee, sheria inaniruhusu
kuchukua huo mkopo?kama ninaweza kufanya
hayo niliyo yaeleza?
(2)Muislamu anaruhusiwa kumuoa ahlulkitaab?
na jee, ndio hawa wakiristo?
- suali
ni hili - kuwa mimi nafanya kazi bank na
nimeshajenga nyumba kwa njia ya bank - na
mengi tu na pia sipendi kuchukuwa live ila
ramadhani na nakuwa naenda umra jee sasa
umra yangu inasihi na hii kazi ni ya haramu
? sasa na nyumba nimeikodisha napokea kodi
jee sasa hizi pesa niharamu? na pia nna mama
ni mgojwa zanzibar kila mwezi anahitaji dawa
na mimi ndio nnapeleka pesa jee yaani sipati
dhawabu? naomba msisaidie kwa suali
hili. Wallah bitofiq.
- Swali
langu ni juu ya Hijja au Umra,moja ya sharti
la kuswihi kwa Hijja kipato halali.Mimi
nafanya kazi hivyo kipato changu ni halali
na ninataka kwenda UMRA.Benki kawaida
kunakuwa na riba.Je UMRA yangu itaswihi?
naomba ufafanuzi hapo nifanyeje?
- swali
langu mimi nimtu kutoka sultanate of Oman
swali kuna mama mmoja kutoka emarat UAE
anasema anatoa sadaka kwa kuwa yeye anaumwa
kansa saa yoyo yote ile ana weza kufa sasa
yeye ana toa sadaka lakini kwanza lazima
watu kutoka Oman lazima alipe riali 100
baada ya miezi miwili alielipa riali
100 ana pata riali 500 yani mtu ana
weza kutoa kiwango chochote kile anacho weza
yani kili mia ana pata 500 na ukitoa 200 una
pata 1000 na anasema yeye hii ni jammiya
khaiyria sasa nina taka kujua hii ni RIBA au
sio RIBA naomba mnijibu haraka
sana iweze kanavyo na mnifaha mishe hatari
ya riba mbele ya mwenyezi mungu
- INAFAA
IKIWA MSHAHARA WANGU UNATIWA BANK NA KWA
VILE PESA NYINGI MIMI SITOWI ZOTE HUWENDA
KUTOWA ZILE NNAZOZIHITAJIA, NA SIJAFUNGUA
ACCOUNT YENYE FAIDA, KUACHA KULE KWA AJILI
YA HIFADHI PESA NYINGI KUZIWEKA NYUMBANI.
MASHEKHE WANATAKHLIFIYANA WENGINE
WANATUAMBIA HAIFAI KUWEKA PESA HATA BANK.
- mimi
ninakaa nyumba ya kukodi maisha yangu,
mwenye nyumba anaitaka nyumba yake, sasa
mimi ninataka kuchukuwa mkopo na uwe mkopo
wa riba wa kunua nyumba baada ya kulipa kodi
hizo pesa zende katika mkopo wa nyumba baada
ya miaka 20 itakuwa nyumba yangu.nimilipa
nyumba ya kukodi miaka 10. nikiendelea
kukodi miaka yote nikikuwa siwezi kufanya
kazi nitakaa wapi. mwenye nyumba atanitoa.
- Mimi
nimekopa pesa kutoka benki ili nifanyie
mambo yangu ya kimaendeleo na benki
wamekubali lakini kwa sharti kuwa itanibidi
nilipe asilimia 19 ya kiasi nilichokopa
wakati wa kurudisha hilo deni. Je hiyo ndiyo
riba iliyokatazwa? kama ni riba je mabenki
yatawezaje kujiendesha na kutoa huduma ya
kutunza pesa za watu kwa usalama, kwani wapo
wafanyakazi, majumba na ulinzi? vyote hivyo
vinahitaji pesa.
- nina
mdogo wangu wa kike kaolewa kiasi miaka
miwili nyuma yeye mashaalla kashika dini
lakini alipoposwa na mtoto wa shangazi yetu
ambaye anafanya kazi bank alikubali na
akamuowa,baada ya mwaka yule mumewe akaacha
kazi ya bank sasa anafanya kazi kwenye
company tu,jee mahari yake alopokeya ni
haramuna ndoa yake ni haramu au laa, nini
anatakiwa afanye ikiwa ni haramu? Shukran
- Naomba
kujua iwapo uislam unaruhusu watu kuwekeana
vitu rahani(kuweka poni).ahsante
JIBU
|
|
|
|
|
|
| |
|
|
| Tuandikie |
| |
|