Makala
Mwanzo
Uislamu-Utangulizi
Fiqhi na Sheria 
Akhlaaq-Tabia
Sira ya Mtume
Nasaha za dini
Maswali na Majibu
Uliza Suala la dini
Jiunge na Mtandao

 

  MASWALI NA MAJIBU-Hijja  


Hijja-Sehemu ya Kwanza                              
 
  1. KUNA MTU ANAUMWA NA MARADHI YA PUMU. AKAMUHADISIA MTU YALE MARADHI YAKE. YULE MTU AKAMWAMBIA NTAKUPA DAWA UNAWEZA UKAFANYA, AKAMUULIZA DAWA GANI AKAMWAMBIA KUWA SIKU ILE ILE WATU WANAO CHINJA HUKO MACCA SIKU YA SKUKUU (MUNA) SIKU ILEILE NA WEWE ULIKO CHINJA MNYAMA KAMA (MBUZI AU NGO'MBE,NGAMIA AU KONDOO) KISHA KUNYWA PALEPALE ILE DAMU YA YULE MNYAMA PUMU ITAONDOKA,  SASA ANAWASIWASI KUFANYA HIVYO WATU WENGINE WANAMWAMBIA HARAMU KUNYWA DAMU YA MNYAMA,  SASA NAOMBA MNISAIDIYE HILI SUALA.

2.      MIMI NIMEFANYA IBADA YANGU YOTE YA HIJA IKABAKI SIKU ILE YA KWENDA KUFANYA TAWAF YA KUAGA KUKAWA NA ZAHMA KUBWA SANA TUKASEMA TUTAKWENDA SIKU YA PILI NIKAPATA DAMU YANGU YA HEDHI IKAWA SIJENDA KUAGA TENA NIMERUDI KWENYE NCHI YANGU.

KWA HILI JAMBO LILILO NITOKEA INATAKIWA KUFANYA KITU CHOCHOTE.

  1. Jee mtu anaweza kwenda kuhiji kama ana deni? au lazima alipe madeni yake kabla ya kwenda? Na kama hana hizo pesa kwa kipindi kile anaruhusiwa kwenda kuhiji?

  2. Je ni sahihi kwamba mtu akienda Makka kuhiji akirudi anakuwa amefutiwa dhambi zake zote za nyuma? Je siku ya hesabu atahesabiwa kuanzia aliporudi kutoka Makka au tangu abalehe.

  3. Moja ya shuruti za hijja au umra ni kipato halali. Swali je mimi kama sifanyi kazi lakini mume wangu ndio amenigharimia safari ya kwenda huko,je hiyo inakubalika?

  4. katika kuzunguka kaaba unatakiwa kuzunguka mizunguko saba.
    Swali je unaweza ukaamua kufanya zaidi ya hiyo saba? au haitakiwi kuzidisha

  5. Swali langu ni juu ya dua unapokunywa maji ya zamzam, je ni lazima unukuu kutoka katika quran? au unaweza kutumia maneno yako mwenyewe? inasemekana ni vizuri unapokunywa maji ya zamzam usome dua nyingi,naomba ufafanuzi hapo yaani dua (ombi) zaidi la moja mfano unaomba kuponywa maradhi au katika ombi lako hilo moja ulitilie mkazo kwa dua nyingi?

  6. je unapokoga kabla ya kuanza ibada ya umra kunakuwa na manuizo katika kukoga huko?
    Kama lipo nuizo naomba nuizo hilo (dua).
    Swali jingine,je naweza kuwaombea wanangu  na wazazi wangu? na ni wakati gani mzuri kwa dua kama hiyo?baaba ya kumaliza ibada ya umra au katika sala za fardhi(swala tano).      

  7. swali langu ni juu ya ibada ya umra. pale unapokuwa katika kituo cha ihram ni sunna kukoga,je hayo maji unayokoga ni maji ya kawaida(bombani) au ni maji
    ya zamzam?
     Swali la pili nini hikma ya kukoga kabla ya kuanza ibada hiyo ya umra?

 

JIBU

 

 


| Tuandikie |