|
|
| |
MASWALI
NA MAJIBU-Masuala mengine ya Dini |
| |
|
| Masuala
mengine ya Dini-Sehemu
ya Tatu |
|
|
|
|
|
- Je
sheria inaruhusu muislam kuoa mke ambae ni
askari katika mazingira tuliyonayo hapa
tanzania ilhali inaeleweka kuwa katika
mavazi tunayoyaona wakivaa wao na hata (manesi)
huwa hayana hijabu na huku tunasisitizwa
kuwa wanawake wa kislaam wajiendeleze
kitaaluma ili waweze kufanyakazi kuinua
vipato vyao ,sasa kama kazi zenyewe ndio
hizo zinazozuia hijabu mnashauri vipi?
Je ni nafasi ipi aliyonayo mwanamke
katika kazi za uaskari kiislam ? kwani
nimeangalia vita vya iraq nimeshangaa kuona
kinamama wameshika silaha kuihami nchi yao
je hawa walikuwa askri kabla ya vita ? na
wanastahiki kuandaliwa kupigana vita kama
wanaume? na kama ni hivyo sasa sheria
inayosema mke ni pambo la nyumba katika
uislam itakuwa na nafasi ipi?
- IKIWA
MTOTO ANAFAHAMU YA KUWA MAREHEMU BABAAKE
ALIKUWA NA BIASHARA KUBWA SANA LAKINI MSINGI
WA ILE BIASHARA ALIPATA PESA ZILE ZA HARAMU.
JE INAMJUZIA YULE MTOTO BAADA YA MZEE WAKE
KUFA KURIDHI ILE MALI NA YEYE INGALI ANAJUWA
ZILE PESA ZILIANZIA MSINGI WA HARAMU.
- naomba
mnijibu ili linalonitatiza.nini
maana ya mfungo?na kwanini
muharami ambao ni mwezi
wa kwanza wa uislamu
ukaitwa mfungo nne, badala ya
kuitwa mfungo mosi?kwasababu
wenyewe ndio mwezi wa kwanza.
- yale
maji yanayomwaga juu ya
kaburi baada ya maiti
kufukiwa yana maana gani? ubao
unaofunikwa katika mwanandani
kaburini una maana gani?
- Mimi
ni muislam lakini kuna jambo moja
linanitatiza sanaa!!! Kuhusu Kiarabu na
Quran,ninavyojua mimi kuwa Quran ni lugha
iliyoshushwa na mwenyezi mungu na sio ya
watu furania au kabila fulani pia nafahamu
kuwa maneno ya Kiarabu mengi yanafafana na
Quran.Nabishana sana Na Wasio waislam
wanavyosema wao wanajua kuwa Quran ni
kiarabu na sisi tunafuata mila za kiarabu na
kwahilo tumekuwa tukichukiwa sana na
tunaambiwa sisi tuko nao pamoja na mimi
nawajibu kuwa sisi na wao ni Dini moja kama
nyinyi na wazungu wengi dunia kote. Kwahiyo
basi naomba unipatie jibu sahihi ili
nipambane na hawa wasiokuwa waislam.Nataka
kukanusha kuwa quran si kiarabu maana
kiarabu ni lugha ya watu na qurani lugha ya
iliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu
- je
sheria ya dini ya kiislaam inasemaje kuhusu
swala la kuangalia mtoto ndani ya tumbo
kabla hajazaliwa kama ni wa kike au wa kiume?
- INAJUZU
IKIWA UMEISHA CHAGUWA KITU UNACHO KITAKA
DUKANI KWA SONARA, UMEWAFIKIANA NAYE
UTAPELEKA PESA KIDOGO KIDOGO MPAKA
LILE DENI LAKE LIMALIZIKE NDIO ANIPE KITU
CHANGU.
- kwaleo
ningependa kuuliza suala linalo husu dada
zetu na mama zetu pamoja na wakezetu
imetokea kuwa kawaida kwa jinsia ya
kike(wamejaaliwa) kupenda kujipamba sana na
kupelekea kuzaliwa kwa mambo ambayo
kabla hayakuwepo ili tu waonekane ni warembo.
suala la kuweka dawa kwenye nywele lime kuwa
ni kama kawaida kwa jamii ya leo na
kila awekae dawa basi huwa na sababu zake
kwa mfano mwingine huweka dawa ili:
nywele ziwe laini
nywele ziwe ndefu
sasa basi mafundisho ya dini yetu ya kiislam
si jafahamu vizuri imeliangalia suala
hili kwa mytazamo gani
- jee
kumfananisha mkeo ni dhambi hata kwa yale
mambo mengine?kwa mfano mtu kusema :mke
wangu anafanana na ndugu yangu kwa nyusi
zilivyo ungana,au mke wangu kama mama yangu
kwa tabia yake fulaan {iliyonzuuri}"
- JE?KUNA HADITHI YEYOTE ILE INAYOHUSU MWANAMKE KUFUNIKA
USO{NINJA}?NAKUHUSU KUVAA HIJAABU
ILYOKUSUDIWA PALE NI SHUNGI AUJAPO MTANDIO
ILHALI UMEFIKIA PALE ILIPOKUSUDIWA KISHERIA??
JIBU
Rudi
Nyuma
Endelea
Mbele
|
|
|
|
|
|
| |
|
|
| Tuandikie |
| |
|