Makala
Mwanzo
Uislamu-Utangulizi
Fiqhi na Sheria 
Akhlaaq-Tabia
Sira ya Mtume
Nasaha za dini
Maswali na Majibu
Uliza Suala la dini
Jiunge na Mtandao

 

  MASWALI NA MAJIBU-Ndoa na Talaka  


Ndoa na Talaka-Sehemu ya Tatu                              
 
  1. Je inakubalika kisheria kwa mwanaume mwenye mke kuoa mke mwingine bila kumtaarifu mkewe?  
    Kama inakubalika kisheria zamu zinawezekana kupangika bila mke mkubwa kujua? Naomba ufafanuzi.

  2. swali langu kuhusu baadhi ya Mashekh wanasema kwamba baina ya mwanamume na mwanamke wanapozini kwani wengine usema yafaa kuoana wengine wanasema kwamba haifai lipo jibu la kweli kwani ktk kupita kwangu nimeona watu wazaa na wamejuku  baada ya Kurudi Makka wameachana kwamba wameambiwa wanaishi kwa haramu vipi kuhusu wale watoto tuseme ni wa haram? basi kuhusu itakuwa familia yote ya haramu

  3. Suala: Jee inafaa mwanamke aliye na hedhi :
     1- kujitia hina kichwani (nweleni)?
    2- kukata kucha?
    3- kutoa malaika (nwele) miguuni, mikononi,  kwapani?
    4 - jee, inafaa vile vile kutowa nyusi ikiwa nyusi zake zimetambaa sana, na nyingi.

  4. Mwanamke ana hedh, inafaa kuvaa kidani chenye aya za kuraani, au jina la Mwenye Enzi Mungu?
     Inafaa kusoma Quraan kwa sauti sura ulizohifadhi? ukiwa na hedhi?

  5. Kawaida ya hedhi yangu ni siku 5.
    mara hii imemalizika kama kawaida siku ya tano, nikakosha nikatia tohara, nikasali, lakini siku ya sita kuingia ya saba ikatokea tena damu kidogo pamoja na rangi rangi ya chockleti(brown).
     Jee, nini hukumu yake? niendelee kusali na faridha za kawaida au nikoge, na nitie tena tohara?

  6. Mimi naishi Ulaya, nina mke na watoto 4. Huku ulaya ukiwa na watoto wengi unapata matatizo mengi kama vile kulipa kodi nyingi serikalini na mtu unakuwa kichekesho mbele ya jumuia na kuonekana punguani na unaweza kupokonywa baadhi ya watoto wako na serikali. Sasa mimi kwa hofu hiyo huwa natumia kondom ninapoingiliana na mke wangu ili kuepuka kuzaa zaidi na kuoa mke mwingine sheria za huku haziruhusu, jee, sheria inaruhusu hayo?

  7. A. Mimi najua TALAKA ziko 3. Sasa, Ikiwa mwanamke humtaki kabisa tena na wala hutarajii kumrejea kutokana na vitimbwi vyake, na hujawahi kumpa talaka hata moja: Je, Waweza kumpa talaka 3 kwa mpigo?. (Mf. kuanzia sasa sio mke wangu x3) ili itimie talaka 3?
    B. Ukimpa talaka 3 bado anastahiki kuisubiria eda yake nyumbani kwa Mumealiye mtaliki?.

  8. mimi nauliza  hivi  mimi kwa sasa niko  england  lakni   nimepata jambo moja  huku england haturuhusiwi kuwa na wake wawili  sasa na mimi nilikuwa  nataka kuoa mke wa huku engalnd   na wakati huo nilikua na mke tanzania tayari  ikabidi nimuombe mke wangu  wa huko  tanzania  anitafutie  karatasi zinazoonyesha kama  nimemuacha lakini mimi sijamuacha kwa mdomo wala  kwa maandishi  na mke wangu ameenda  mpaka mahakamani  kunifanyia hizo  karatasi ili niweze kupata  sheria ya huku  je shekh  nauliza mimi sijamuacha mke wangu  je  watu wansema hiyo  itakua imesihi  kuwa talaka wakati mimi sijamtamkia wala sina nia ya kumuacha je shekh  nitakua niko katika sehemu gani  nimewacha mke au sijawacha  

  9. Kwa kuanza ninaanza na swali langu kuwa mtu ukioa halafu yule mwanamke akawa anatii maamrisho ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake na kutonisikiliza mimi kila ninalomwelewesha je ni haki kumpa talaka?

  10. Napeenda kuuulizwa swali. eti kama mtu unaoa na ni mjamzito eti kweli ndoa inasihi. Na alafu mimi nataka kuoa bila ya wazee wangu kujuwa kweli ndoa yangi itasihi?na swala la mwisho eti kama nitakuwa na mwanamke wa kikiristo na nitaamua kumsilimisha  na kuingia katika dini ya Kislam. na nitafunga naye ndoa itasihi? wakati kabla nimeshatembea nae na nimeshapata naye mtoto mmoja. Naomba majibu ya maswala haya ili nielewe


JIBU

 

Rudi Nyuma                                                  Endelea Mbele


| Tuandikie |