Makala
Mwanzo
Uislamu-Utangulizi
Fiqhi na Sheria 
Akhlaaq-Tabia
Sira ya Mtume
Nasaha za dini
Maswali na Majibu
Uliza Suala la dini
Jiunge na Mtandao

 

  MASWALI NA MAJIBU-Swala  


Swala-Sehemu ya Tatu                              
 

 

  1. Mimi ninauliza kunahadithi sahihi pamoja na aya zinazo thibitisha kuwa imeruhusiwa kuswali na viatu.
  2. Kunabaadhi ya watu ukiwa unasali peke yako huwa wanakufuata nyuma nao hukupa ishara ya kukushika kama bega ili ujue kama yeye yuko nyuma,jee vipi inafaa kufanya hivyo au laa kwani wakati mwingine huwa unasali suna na sio faridha.

  3. swali langu ni kuhusu kutamka saydina ndani ya swala sasa ktk kunuti inatamkwa hivyo au ktk kunuti sio ktk swala

  4. tayamam inatazamwa vipi endapo itakuwa ktk sehem ya jiwe tupu au ktk ukuta wa nyumba

  5. Ikiwa mimi nimechelewa wakati wa SALA katika ile takbira ya kwanza ya
    kisimamo cha surat-fat'ha, Kisha nimemkuta imamu yupo katika rukuu (kashika magoti) na mimi pale nataka kumuwahi imamu katika hali ya kawaida na wala sio kukimbilia. JE, mimi itanipasa nilete Takbira MBILI AU MOJA tu?. Nikiwa na maana kwamba mimi niliyechelewa naweza kuleta takbira moja tu kisha nikarukuu moja kwa moja Au Itanipasa nilete takbira mbili (ALLAH AKBAR -ya kufungua Sala, kisha nilete nyingine ALLAH AKBAR -ya kurukuu)??

  6. Salaa ya Al Fajr : Nimesikia hoja namna,namna lakini nataka uhakika, Eti ni kweli " Ikikupita salaa ya al fajr ndio tena ishakupita huwezi tena kusali? nikweli salaa ya alfajr huwezi kukidhi??

  7. Je waweza kuamka kwa swala za usiku baada ya kuwa ushaswali witri?

  8. MADHII YAINGIA AU YAMEPAKAA KATIKA KITU KAMA RADIO  AU SIMU LAKINI UKASHINDWA KUPANGUSA AU KUSAHAU NA IKAPITA MIEZI MIWILI AUMITATU UKAKUMBUKIA ILHALI IMESHAFUTIKA AU HAIONEKANI AU HUJUI WAPI KATIKA HICHOKITU UPANGUSE JE? UKIGUSA HICHO KITU ILHALI MIKONO YANGU INA UMAJI JE? NITACHUKUA NAJISI KTKA MIKONO. NAOMBA NISAIDIWE

  9. Najua kuwa mtume ametuamuru kuwa tutembeze jeneza kimya kimya ili tutafakari. je kusoma kalima shahadat kama ilivyo maarufu kuna ubaya gani?

  10. naomba ufafanuzi juu ya njia muafaka ya kumuombea marehemu wako.
    pia ni sahihi kuweka kibao juu ya kaburi la marehemu wako ili uweze kulielewa vizuri?
    je nini hukumu juu ya kutembelea kaburi la ndugu yako mara kwa mara kwa lengo la kumuombea kwa mwenyenzi mungu?

JIBU

 

Rudi Nyuma                                                  Endelea Mbele


| Tuandikie |