|
|
|
|
|
| Swala-Sehemu
ya Pili |
|
|
|
|
|
|
- Mtume
(S.A.W) alikua akisali sala gani za usiku na
vipi.
- Nini
hukumu ya mtu kaingia msikitini, salaa ya
alfajiri imeshaanza kwa kidogo, Jee
akimu salaa na Imaam au asali sala ya suna
kwanza khalafu asali faridha peke yake?
- IKIWA
NIMEISHA TAWADHA NATAKA KWENDA KUSALI
AMENIPITIA MBU AU MENDE NIKAMUUWA KWA KIATU
ITAKUWA UDHU WANGU UMEISHA KATIKA ITANIBIDI
NIKATAWADHE TENA?
- Inafaa
kusali salaa ya suna ya ishaa wakati wa
baada ya salaa ya magharibi?
- Mimi
nauliza.Jee ikiwa mtu amechelewa kufika
wakati wa sala ya Ijumaa,na tayari watu
washasali raka ya mwanzo,jee mimi
nikijumuika nao katika raka ya
pili,halafu nikamaliza raka yangu yapili
peke yangu,jee sala yangu itakubalika,kama
nimesali ijumaa ya Jamaa.
- IPO
RUHUSA YA KUMWACHIA MAJI MNYAMA {PAKA}KAMA
HAMNA MAJI MTU YEYE AKATAYAMMAMU .JE KAMA
MAJI HAYO {MENGI NUSU NDOO} NA PAKA
AMEYANYWA NA KUYABAKISHA YANAFAA KUONDOLEA
JANABA NA KUCHUKULIA UDHU??
- IKIWA
MTU AMEISHA MALIZA KUSALI, AMEOMBA DUA ZAKE
AKAJINYOSHA KWENYE MSALA UKAMCHUKUWA
USINGIZI, AKATOKA DENDA, SASA ILE NGUO ALIO
JIFUNIKIA IMEPATA LILE DENDE ATAWEZA KUIVAA
TENA KWENYE SALA NYINGINE BILA KUIOSHA?
- IKIWA
MWANAMKE ANATAKA KUSALI ITAMJUZIA AFUNIKE
MIGUU YAKE KWA NGUO MWISHO WA VIFUNDO VYA
MIGUU YAKE AU LAZIMA AFUNIKE YOTE ISIONEKANE
HATA NYAYO ZAKE ZA MIGUU. KWANI MASHEKHE
WANATAKHLIFIYANA HATUJAUPATA UKWELI HASA NI
UPI.
- ndugu
mashehe zangu naomba munijibu swali
hili.je unaweza kuswali hali
ya kuwa umevaa nguo yenye
manii?
- Napenda
kuuliza kuhusu namna ya kulipa kadha za sala
kwasababu mimi nafanya kazi muda ninapata
jioni siruhusiwi kutoka mchana na tajiri
yangu kwahiyo sala ya adhuhuri na
alasiri zinanipita nifanye nini?
JIBU
Rudi
Nyuma
Endelea
Mbele
|
|
|
|
|
|
| |
|
|
| Tuandikie |
| |
|