Makala
Mwanzo
Uislamu-Utangulizi
Fiqhi na Sheria 
Akhlaaq-Tabia
Sira ya Mtume
Nasaha za dini
Maswali na Majibu
Uliza Suala la dini
Jiunge na Mtandao

 

  MASWALI NA MAJIBU-Swaumu  


Swaumu-Sehemu ya Kwanza                              
 
  1. swali langu ni juu ya hili swala la mwezi hakika kuna mpingano kati ya makundi ya kiislamu kila kundi linatoa dalili zake hii inakuwaje?na wakati wote tunahukumu kwa kitabu kimoja QURAN na sunna za mtume(s.a.w)naomba maelezo kwa dalili lipi ni sahihi katika tofauti hizi

  2. Mimi nikijana niliyeowa ninafanyakazi ya ulinzi,wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhan nimepangiwa kuanza kazi saa 11.30pm kabla ya salaatul maghrib na ninatoka kazini 12.00am baada ya salatul fajr,ni kipindi cha mchana tu ambacho ninachoweza kuwa na mke wangu jee pindipo ninaposhikwa na hamu ya mke kufanya nae mapenzi jee nihalali na kama ni haramu mimi nishafanya nae mchana jee ni hukumu gani nitaipata kwa dini yetu, na jee ikiwa yeye ameshikwa na hamu hiyo nimfanye nini.

  3. mimi nauliza jee,ikiwa hukufunga ramadhani ya mwaka juzi natakiwa   vipi au unatakiwa ulipe fidia .Hiyo ramadhani nilikuwa ni mjamzito na sikuweza kufunga kwa kunyonyesha .

  4. mimi nipo Malaysia sasa, na nataka kurudi nyumbani Unguja wiki ijayo ambayo itakuwa ni Ramadhani. Suala langu ni kuwa safari yote kutoka hapa hadi Unguja ni karibu masaa 24 kwa ndege, jee napaswa kufunga? mimi nafsi yangu naona kama nitajikalifsha. Naomba ufafanuzi. Ahsante

  5. Mimi na wasi wasi juu ya kutumia dawa ya meno wakati umefunga, jee inakubaliwa kutumia dawa au haikubaliwi. Naomba jawabu la kunitoa wasi wasi huu. 

  6. Tafadhali sheikh, nimesikia kutoka kwa masheikh kwamba kufunga siku ya IDD EL-fitri ni dhambi kubwa kwani siku hii ni sikukuu. sasa nauliza kwamba je itakuwaje ikiwa mtu hufahamu yupi sahihi kati ya wale wanaofungua siku moja kabla ya mwezi kuandama[Ansar Sunn] na BAKWATA? na je itakuwaje ikiwa BAKWATA wapo sahihi na mimi nimewafuata Ansar Sunn kusheherekea IDD EL-Fitri wakati kumbe mwezi bado haujaandama? je ni dhambi kubwa?

  7. Kuna mtu ambae yuko nchi za ng'ambo ambazo si ya kiislamu, kazi yake ni kumpikia bosi wake pamoja na wageni wake,sasa katika kipindi hichi cha Ramadhan inamlazimu mtu huyo kuendelea na huduma zake hizo ilhali yeye yumo kwenye funga. Sasa je funga yake inakubaliwa mtu huyo, ukizingatia kuwa pindipo ataacha kufanya hiyo kazi au kuchukuwa likizo basi kurejea kazini itakuwa ni vigumu na kutafuta kazi nyingine vile vile ni vigumu sana na yeye yuko ugenini hana jamaa wa kumtegemea? Naomba jawabu yako unipe na ushahidi.

8.      mimi ninafunga ila nina matatizo ya tumbo vidonda vya tumbo. huwa ninajitaidi kufunga siku tatu au nne na ya tano huwa ninapumzika navuta nguvu je swaumu yangu itakubalika .  

  1. nilikuwa nauliza je wanawake pia ni lazima wasali taraweh?

  2. Swali langu lahusu swaum.Mimi nadaiwa siku 15 za swaum,swali je naweza kuzilipa katika mwezi huu wa shabaan au haiswihi?
    Je kama haiswihi naweza kuzilipa baada ya swaum ya mwaka huu?

 

JIBU

 

                                                                          Endelea Mbele


| Tuandikie |