Makala
Mwanzo
Uislamu-Utangulizi
Fiqhi na Sheria 
Akhlaaq-Tabia
Sira ya Mtume
Nasaha za dini
Maswali na Majibu
Uliza Suala la dini
Jiunge na Mtandao

 

  MASWALI NA MAJIBU-Swaumu  


Swaumu-Sehemu ya Pili                              
 
  1. pindi ikiwa ninastanji ikatokea bahati mbaya kidole kikaingia ndani ya tundu ya siri na huku nikiwa na saumu. nii hukmu ya funga yangu?

  2. mimi suala langu nnaomba mni fafanuliye, nina ndugu yangu alilazwa hospitali kwa muda wa mwaka mmoja, ametoka mwezi huu hospital, inaingia sasa hivi ramadhani ya mwaka huu, amesema atajitahidi afunge mwaka huu atatumia dawa zake wakati wa usiku na kukaribia alfajiri,lakini hajawahi kulipa deni lake la mwaka jana je afanyaje, na hajawahi kutowa sadaka ya kulisha masikini, hajuwi kiwango gani kila siku kulisha masikini nakuombeni mnifafanuliye jibu langu

  3. Swali langu ni hili Mimi nina matatizo ta kuumwa na tumbo nimefunga siku sita tu tumbo likawa linauma sana hadi nimeshindwa kuendelea naomba unisaidie je nikipona nilipize siku au kuna njia nyingine ?

  4. Asalamu aleikum, Kama inavyo eleweka Ramadhan inafadhila kubwa sana malipo yake hakuna anaeyajua ila mwenyezi mungu pekee.
    Swali nina rafiki yangu mpenzi (mwanamke) mzima kiafya na hana matatizo aina yoyote ya ugonjwa, Lakini hafungi na anasema hawezi kukaa na njaa.
    Je inajuzu kuwa nae kiurafiki?

  5. Naomba kujua kuwa mwanamke anayelipa siku zilizompita katika Ramadhani kutokana na Hedhi, ni kweli kuwa akitia nia ya kufunga kulipa zile siku za faradhi alizokosa na nia ya kufunga sita huwa anapata malipo ya funga zote hizi kwa pamoja, yaani si lazima tena aje kufunga sita za shawwal mbali?  

  6. Mimi sasa hivi ni mjamzito. Kufunga nimeona itamuathiri mwanangu tumboni hivyo sifungi. Je, kuna fidia yoyote naweza kulipa baadae? kama ipo ni fidia gani na kiasi gani? au itabidi nilipe tu.


JIBU

 

Rudi Nyuma                                                  


| Tuandikie |